..teh hee hee..umetaka ubondia waogopa ngumi za uso?
..ndo kazi zenu hizo sheikh wangu!...10% kwa hizo nyumba mbili tu ni 60M;kiinua mgongo cha mwalimu baada ya miaka 40 ya kazi!
..sio kirahisi rahisi!
Naomba ufafanuzi mwenye kujua,hivi mbona matangazo mengi humu JF ya nyumba,viwanja mtu akiweka ni lazima abembelezwe kuweka bei,ni utamaduni wa humu JF au ni tabia za watu zinafanana inapofikia swala la kutangaza biashara yake?