Haina gutter mvua ikinyeesha maji yanayogonga ardhini ndio yanarusha huo utando mwekundu.Mbona kwenye msingi inaonyesha michirizi ambayo inatokana na kutwama kwa maji??
Ukimchunguza bata humli.Mbona kwenye msingi inaonyesha michirizi ambayo inatokana na kutwama kwa maji??
Expansion Joints hizo wala hazina shidaMbona kwenye msingi inaonyesha michirizi ambayo inatokana na kutwama kwa maji??
Umejibu vyema mkuuHaina gutter mvua ikinyeesha maji yanayogonga ardhini ndio yanarusha huo utando mwekundu.
We jamaa una akili sana,pongezi kwa kukuona hiloMbona kwenye msingi inaonyesha michirizi ambayo inatokana na kutwama kwa maji??
Hahahaha nimecheka sana mkuuMwaka huu tutaona mengi sana.. kuna jamaa anauza Nyumba yake million 10 ikiwa completed na miundombinu yote ya maji na Umeme imemalizika. Kwa tathmini ya haraka haraka ile Nyumba ni ya million zaidi ya 30 maana ina uwanja mkubwa kama wa taifa.
Mungu akusaidie uuze kwa bei uliyoweka ndugu! Najua hadi mwanaume anafikia hata ya kuuza Nyumba aliyoijenga kwa muda mrefu na tabu ni makubwa yamemfika.
Kila la kheri!
bei inajadilika sanaNi umaskini but kwa muonekano wa hzo picha naona bei tajwa iko reasonable kabisa
Unacheka nini tena mkuu! Huu ni muda wa maombolezo.Hahahaha nimecheka sana mkuu
Hiyo nyingine iko wapi? nijuze mkuu, huu ndio wakati wa nunuanunua kwa sisi wengineMwaka huu tutaona mengi sana.. kuna jamaa anauza Nyumba yake million 10 ikiwa completed na miundombinu yote ya maji na Umeme imemalizika. Kwa tathmini ya haraka haraka ile Nyumba ni ya million zaidi ya 30 maana ina uwanja mkubwa kama wa taifa.
Mungu akusaidie uuze kwa bei uliyoweka ndugu! Najua hadi mwanaume anafikia hata ya kuuza Nyumba aliyoijenga kwa muda mrefu na tabu ni makubwa yamemfika.
Kila la kheri!