hata kama wewe ni dalali usiwe na haraka kupost jipange kuweka tangazo linalojitosheleza naona hata kwenye contact umeandika con acha mzuka kamilisha tangazo dili la hela zote hizo unaaanza kutetemeka kwenye tangazo je ukipigiwa ukaambiwa tunakuja kulipa hutakufa kweli