House For Sale at Msasani Misitu st.

radhiya

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2015
Posts
508
Reaction score
401
House For Sale.
Location: Msasani Near Dar Villa, Misitu St.

Features: 1 storey, 4 bedrooms, 4 bathrooms, public toilets, Kitchen, Laundry, Dining, Sitting, Store, water tank, and servant's quarter.

Size: SQM 1200.
Price: Tsh 1.5B (USD 550K). Negotiable.
Document: Title Deed.

For further details or to arrange a viewing, kindly contact us. A small viewing fee will apply.
Contacts: 0784 829565 or 0767 833345 or 0627 605807
@prathrealestate
 

Attachments

  • b996f25a-5fcb-438a-8308-6d1eff9bb580_0_watermark.jpeg
    93.2 KB · Views: 13
Nyumba nzuri kweli kweli. Naona ni bargain price maana square metet moja hapo unauza kwa 1.2 million with a house. Ni bargain

Rental price ipoje hapo kwa mwezi kwenye hiyo nyumba, ikiwa itapangiswa?
 
Nataka kuangalia viability ya hiyo bei. Mfano ukiweka apartment kama nne hapo unaweza kupata rental ya usd 500 each?

Maana yake ni kama Usd 24,000 kwa mwaka minimum.

Kungekuwa na soko la mortgage Tanzania hizi ndo fursa zenyewe.

Maana kwa mortgage ya miaka 20 kununua nyumba kama hiyo, huwa inafika kipindi value ya property kulingana na soko inapanda kwa haraka kuliko mkopo wenyewe na hapo ndo mtu unaweza kutengeneza pesa.

Maana unaweza tena kuongeza exposure ya mkopo kupitia nyumba hiyo hiyo ukapata pesa za kununua properties nyingine pengine.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…