House for rent

Weka bei ,pia eleza kama wewe ndio mmiliki au dalali
 
Si mkarabati kwanza ndipo mpangishe? Kwa picha tu inaonekana hivyo je ukiisogelea Karibu?
 
Ukiiona ndani ukaipenda/kama unahitaji tutaelewana bei. Ndio nilichomànisha. Au nitafute kwenye no yangu kama unahitaji
Mmh kwanini usitoe bei kupitia hiyo bei elekezi maelewano yakafanyika?
 
Ukiiona ndani ukaipenda/kama unahitaji tutaelewana bei. Ndio nilichomànisha. Au nitafute kwenye no yangu kama unahitaji
unazungukazunguka tu sema bei laki sita mtu akija akapaona panafaa atakupa hata laki saba akiona haendani na ulichosema ndipo maelewano sasa unashindwa nini kutoa bei elekezi
 
Muuzaji inaelekea hana nia ya kuuza,Mteja kwako fala inaelekea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…