TANGAZA MARKETING SOLUTIONS:
Nyumba inapangishwa ipo Kijitonyama nyuma ya Polisi Mabatini:
Chini ina sebule dining, chumba master, jiko, public toilet, store,
Juu vyumba vitatu kimoja master, public toilet, store.
Maji ya uhakika,
Parking yakutosha gari 6
Mazingira mazuri na salama.
Bei dollar 1300/=
Contact: 0785-074040, 0714-074040