Hotel inauzwa, Morogoro Msamvu

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,104
Reaction score
335
[font=&quot][/font]
ipo morogoro msanvu kitovu cha moro. Ina vyumba vya kulala self-contained 22, bar kubwa na jiko. Inafanya kazi. Ipo busy sana upande wa bar na jiko. Imejengwa katika eneo lenye mvuto wa kibiashara na ina mandhari yenye kuvutia.ipo katika kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 3600. bei us $ 1,950,000. piga namba hii:0717114409
.​
 

NSSF wamejenga mabibo hostel kwa USD 10,000,000. Mabibo hostel ina capacity ya 4000 beds. Wewe unauza hotel ya capacity ya 22 kwa USD 1,950,000. Hivi hizo bei huwa mnakokotoa vipi?
 
NSSF wamejenga mabibo hostel kwa USD 10,000. Mabibo hostel ina capacity ya 4000 beds. Wewe unauza hotel ya capacity ya 22 kwa USD 1,950,000. Hivi hizo bei huwa mnakokotoa vipi?
Duh, sidhani kama kuna usahihi hapo.
 
Pamoja na kwamba siifahamu hoteli yako, naamini hiyo bei imepaishwa zaidi ya mara nne ya bei. Hebu tutajie jina la hotel ili tuidhaminishe. Maana Ile hotel ya ghorofa nne pale karibu ya kambarage IMK gharama yake ni 1/4 ya hiyo

 
Angekuwa Nyerere angesema watz nowdays wameendelea hotel inauzwa 3billion wakati kuna mtu mlo mmoja kuupata kwa siku issue
alafu anaangua kile kicheko chake kilee
 
Kuna jamaa yuko tayari kabisa kununua hiyo hotel, ila tu ameomba kulipa kidogo kidogo (installments).

Kwanza atalipa mil 50 halafu mumkabidhi aanze ku operate then atakua analipa kila siku kutoka kwenye daily income atakayokuwa anapata!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…