Hostel SAUT Mwanza

Joined
Oct 4, 2016
Posts
23
Reaction score
2
Mamboz! Niko saut mwanza first yr nasomea BAMC nilikuwa natafuta hostel Nje ya campus na nilikuwa nahitaji kwa haraka sana
 
Mamboz! Niko saut mwanza first yr nasomea BAMC nilikuwa natafuta hostel Nje ya campus na nilikuwa nahitaji kwa haraka sana
Tunauza Gas pia maeneo ya Nyamalango.kwa mahitaji yako ya Gas ya kupikia ukiwa kwa chumba yako karibu sana na bei zetu ni poa
 
Malimbe kuna hostel kibao hazina hata bei, wewe uko saut ya wapi ambako umekosa hostel out of campus?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…