Hostel inauzwa ipo Mbezi

Craig Natson

Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
80
Reaction score
49
Bsns Closed
 
Attachments

  • 1488265947552.jpg
    67.4 KB · Views: 98
  • 1488265970008.jpg
    90 KB · Views: 93
  • 1488265991201.jpg
    89.8 KB · Views: 92
  • 1488266009403.jpg
    71.2 KB · Views: 95
hakuna wanafunzi vyuoni siku hizi...hostel hazipati wapangaji...

na udsm hostel kibaooooo mpya zimejengwaa.. waliokuwa wana hostel zao wanawapangisha imekula kwao
 
Kwani hiyo ipo UDSM mkuu?
 
Biashara ya hostel kwa sasa pasua kichwa kwa mfumo na mzunguko wetu wa hela siku hizi no boom no forgery vyote hivyo vinafanya wanafunzi kupungua
 
Watoto wadogo maneno meengi. Someni. Acheni ku-comment kila post.
 
hakuna wanafunzi vyuoni siku hizi...hostel hazipati wapangaji...

na udsm hostel kibaooooo mpya zimejengwaa.. waliokuwa wana hostel zao wanawapangisha imekula kwao
Mkuu umeongea kwel tupu yaan umemaliza tulioko vyuo tumeliona hilo kula tano!
 
Biashara ya hostel kwa sasa pasua kichwa kwa mfumo na mzunguko wetu wa hela siku hizi no boom no forgery vyote hivyo vinafanya wanafunzi kupungua
Yale ni majengo, sio lazima yawe ni hostel milele.,unaweza Fanya modifications then yakawa ni vyumba vya kupangisha...
 
hakuna wanafunzi vyuoni siku hizi...hostel hazipati wapangaji...

na udsm hostel kibaooooo mpya zimejengwaa.. waliokuwa wana hostel zao wanawapangisha imekula kwao
acha kukatisha watu tamaa mbona unakuwa sio mstaarabu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…