Hospitali za serikali

kadoto

Member
Joined
Sep 9, 2014
Posts
33
Reaction score
4
Mimi nashangaa kuona kama unaenda hospitali ya serikali unakaa folen halafu unaambiwa dawa ununue nje ya hospital. Hapo kuna hospitali, au nijue kwa utafiti wenu JamiiForum
 
Kwani viongozi wanatibiwaga hospital za kwetu? sasa zitakuaje za kijanja nahali viongozi wanachangia kuzididimizaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…