Hongera Fatuma Karume, Maria Sarungi na Ummy Mwalimu mmeuonesha uanamke wenu kwa Tanzania

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Kabla sijapanda kitandani kumkumbatia Mama yenu usku wa leo tumekubaliana niwapongeze watajwa hapo juu sababu ni zifatazo.

Maria Sarungi nampongeza kwa kuanzisha mjadara mzuri kupitia space huko tweeter natambua vinyamkera vitanuna ila ni kupitia space hiyo mwanamke wa nguvu Fatuma Karume alitumia nafasi yake kumshauri Ummy mwalimu dhidi ya kufungua maduka ya dawa yaliyo karibu na hosptali.

Na kumtaka arejehe sheria zinasemaje zilizotungwa yeye akiwa Waziri?

Ummy Mwalimu kulipo kucha amebadili msimamo huo hakika kumbe wanake mkiiinkaa pamoja mnaweza kuendesha nchi.

Hongera kwa kusikiliza ushauri wa Ndugu Fatuma.
 
Huyu jamaa anadharau sana..anyway hoja ya ummy ilikua ya kitoto sana nashangaaa ilipitaja hadi kuwa sheria.

#MaendeleoHayanaChama
Tuliwavizia wamelala tukapitisha faster kuja kustuka kitu Kiko mtaan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…