S SAMAP Member Joined Nov 15, 2018 Posts 45 Reaction score 17 Jul 15, 2019 #1 Ninaomba kufahamu kuhusu gari hizi mbili Honda stepwagon na Noah new model. 1. Uimara wake 2.ukaji wa mafuta 3. Upatikanaji wa spears hapa Tza 4. Uvumilivu wa barabata zetu View attachment 1154338
Ninaomba kufahamu kuhusu gari hizi mbili Honda stepwagon na Noah new model. 1. Uimara wake 2.ukaji wa mafuta 3. Upatikanaji wa spears hapa Tza 4. Uvumilivu wa barabata zetu View attachment 1154338
King Elly JF-Expert Member Joined Sep 19, 2013 Posts 1,206 Reaction score 1,321 Jul 15, 2019 #2 Go for Toyota Kama unaotia spare pamoja na ulaji was mafuta ila sasa ulikua unaitaji kwa matumizi gani izo gari?
Go for Toyota Kama unaotia spare pamoja na ulaji was mafuta ila sasa ulikua unaitaji kwa matumizi gani izo gari?
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 13,456 Reaction score 43,256 Jul 16, 2019 #3 Mkuu chukua Toyota Tu ili kuondoa usumbufu hiyo honda wabongo wengi wanaiopoga. Hata Kwenye uimara sidhani kama inaweza kuifikia Noah
Mkuu chukua Toyota Tu ili kuondoa usumbufu hiyo honda wabongo wengi wanaiopoga. Hata Kwenye uimara sidhani kama inaweza kuifikia Noah
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,195 Reaction score 49,119 Jul 16, 2019 #4 pureView Zeiss said: Mkuu chukua Toyota Tu ili kuondoa usumbufu hiyo honda wabongo wengi wanaiopoga. Hata Kwenye uimara sidhani kama inaweza kuifikia Noah Click to expand... Hata resale value ya hio honda ni ndogo.
pureView Zeiss said: Mkuu chukua Toyota Tu ili kuondoa usumbufu hiyo honda wabongo wengi wanaiopoga. Hata Kwenye uimara sidhani kama inaweza kuifikia Noah Click to expand... Hata resale value ya hio honda ni ndogo.
MANI Platinum Member Joined Feb 22, 2010 Posts 7,318 Reaction score 6,394 Jul 16, 2019 #5 Noah model hiyo ni kimeo afadhali matoleo mengine lakini si hiyo
S SAMAP Member Joined Nov 15, 2018 Posts 45 Reaction score 17 Jul 16, 2019 Thread starter #6 MANI said: Noah model hiyo ni kimeo afadhali matoleo mengine lakini si hiyo Click to expand... Hiyo Noah ni mpya sana tofauti ya ile yenye engine ya D4 hii imeimarishwa zaidi baada ya engine ya D4 kuwa na matatizo
MANI said: Noah model hiyo ni kimeo afadhali matoleo mengine lakini si hiyo Click to expand... Hiyo Noah ni mpya sana tofauti ya ile yenye engine ya D4 hii imeimarishwa zaidi baada ya engine ya D4 kuwa na matatizo
S SAMAP Member Joined Nov 15, 2018 Posts 45 Reaction score 17 Jul 16, 2019 Thread starter #7 mng'ato said: Hata resale value ya hio honda ni ndogo. Click to expand... Asante kiongozi
S SAMAP Member Joined Nov 15, 2018 Posts 45 Reaction score 17 Jul 16, 2019 Thread starter #8 pureView Zeiss said: Mkuu chukua Toyota Tu ili kuondoa usumbufu hiyo honda wabongo wengi wanaiopoga. Hata Kwenye uimara sidhani kama inaweza kuifikia Noah Click to expand... Asante kwa ushauri
pureView Zeiss said: Mkuu chukua Toyota Tu ili kuondoa usumbufu hiyo honda wabongo wengi wanaiopoga. Hata Kwenye uimara sidhani kama inaweza kuifikia Noah Click to expand... Asante kwa ushauri
S SAMAP Member Joined Nov 15, 2018 Posts 45 Reaction score 17 Jul 16, 2019 Thread starter #9 King Elly said: Go for Toyota Kama unaotia spare pamoja na ulaji was mafuta ila sasa ulikua unaitaji kwa matumizi gani izo gari? Click to expand... Kwa matumizi ya kifamilia tu wala si kwa Biashara.
King Elly said: Go for Toyota Kama unaotia spare pamoja na ulaji was mafuta ila sasa ulikua unaitaji kwa matumizi gani izo gari? Click to expand... Kwa matumizi ya kifamilia tu wala si kwa Biashara.