Jeny faraji
Senior Member
- Jan 20, 2018
- 164
- 34
HyooHaya uza sasa. Yani hata picha umeshindwa.?
dukani sh ngapi??
Lak 7dukani sh ngapi??
Kwa nini we unaiuza.?Lak 7
Nashida na PESA bacKwa nini we unaiuza.?
Asap ndo ninChukua 300,000 ASAP
Huna ndugu yako dar utakae mtuma aje aichukue afu akutumie uko ulikoOya nipo mkoan tunafanyaje