Fridge imefunguliwa na imetumika for like 6months ,makochi yana leather kidogo + kitambaa ,dining table sina hakika na mbao tumika ,ila source ni keko. AsanteUnahitajika kufafanua kama friji ishafunguliwa, aina gani? Makochi ni leather, dining table za mninga, mpodo etc