Kuna ile system kuwa security camera ikifungwa home,unaweza kuona kinachoendelea kupitia mobile phone yako,vipi hio mnayo mkuu?ni kweli camera za hivyo zipo?
Mkuu camera zina record matukio kama haupo au mpaka uangalie hapo kwa hapo?(yani mfano nikitoka kama siku nzima naweza kuja kureview ni nani aliingia kwangu au alikua getini mfano) je ikirecord inakuwa mfumo wa picha au video.... na je mna camera zenye kuweza kuona usiku?

camera zina uwezo wakuona usiku na dvr machine tunazofunga zina ukubwa wa 1 TB ambazo zinaweza kuhifadhi matukio yote yanayorekodiwa na camera kwa zaidi ya mwezi mmoja...record zinakua katika mfumo wa video.
Mkuu camera zipo ambazo ni wireless au zote ni wired? halafu camera zina ukubwa isije mharifu akaziona kirahisi akakwepa, zile za dome shaped naona huwa ni nzuri zaidi je unazo?