Ukapumzike mahala pema Otieno Kajwang' hakika wakenya watakukumbuka kwa jinsi ambavyo ulikuwa mkweli na mpambanaji wa kweli. Wimbo wako wa mapambano utabaki kuwa alama yako nchini Kenya.
Umewaacha wenzio ndani ya ODM wakiwa na majonzi makubwa; Raila analia, Kalonzo analia, Wetangula analia, Midiwo amebaki yatima!