Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,663
- 167,587
Una uhakika ni ugonjwa mpya?? hilo moja, unafahamu huyo mbu anayeeneza? mwisho, acha uongo
chikungunya ni ugonjwa wayao na wamakua wa huku kusini wanatumia jina hilo kwa ugonjwa ambao mtu umemshika kisawasawa. may be na huko Jamaica kuna wayao wamwera na wamakuwa
dah hata mimi nilishtuka mkuu coz najua CHIKUNGUNYA maarufu sana maeneo ya huku kwetu kusini,kumbe hilo jina linatumia hadi Ulaya?