Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 21,854 Reaction score 26,092 Apr 24, 2023 #1 Habari wadau wapi naweza pata hii mashine ya kufyatulia tofali zenye matundu katikati, msaada mwenye kufahamu zinakopatikana kwa Tanzania.
Habari wadau wapi naweza pata hii mashine ya kufyatulia tofali zenye matundu katikati, msaada mwenye kufahamu zinakopatikana kwa Tanzania.
snochet JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 1,466 Reaction score 1,235 Nov 8, 2023 #2 Crocodiletooth said: Habari wadau wapi naweza pata hii mashine ya kufyatulia tofali zenye matundu katikati, msaada mwenye kufahamu zinakopatikana kwa Tanzania. Click to expand... Boss,Nimezitafuta sana pia bila mafanikio. Nina drawing nimepata na ninategemea kwenda kwa fabricator anitengenezee. Kama una mtu Malawi--naweza kukupa contact ya mahali pa kununua(Blantyre)
Crocodiletooth said: Habari wadau wapi naweza pata hii mashine ya kufyatulia tofali zenye matundu katikati, msaada mwenye kufahamu zinakopatikana kwa Tanzania. Click to expand... Boss,Nimezitafuta sana pia bila mafanikio. Nina drawing nimepata na ninategemea kwenda kwa fabricator anitengenezee. Kama una mtu Malawi--naweza kukupa contact ya mahali pa kununua(Blantyre)
Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 21,854 Reaction score 26,092 Nov 8, 2023 Thread starter #3 snochet said: Boss,Nimezitafuta sana pia bila mafanikio. Nina drawing nimepata na ninategemea kwenda kwa fabricator anitengenezee. Kama una mtu Malawi--naweza kukupa contact ya mahali pa kununua(Blantyre)sina Click to expand... Sina mtu Malawi, endapo una mchoro hapana tena ugumu wowote, nitaomba unitonye kwa huyo fundi nami anitengenezee mkuu
snochet said: Boss,Nimezitafuta sana pia bila mafanikio. Nina drawing nimepata na ninategemea kwenda kwa fabricator anitengenezee. Kama una mtu Malawi--naweza kukupa contact ya mahali pa kununua(Blantyre)sina Click to expand... Sina mtu Malawi, endapo una mchoro hapana tena ugumu wowote, nitaomba unitonye kwa huyo fundi nami anitengenezee mkuu
G gambagumu JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 2,336 Reaction score 3,155 Nov 8, 2023 #4 Hivi hiz tofali zinauzwa sh ngapi inaweza kuwa cheap? Vipi matumizi yake unaweza jengea Kuta za nje au ni za ndani tu
Hivi hiz tofali zinauzwa sh ngapi inaweza kuwa cheap? Vipi matumizi yake unaweza jengea Kuta za nje au ni za ndani tu
Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 21,854 Reaction score 26,092 Nov 8, 2023 Thread starter #5 gambagumu said: Hivi hiz tofali zinauzwa sh ngapi inaweza kuwa cheap? Vipi matumizi yake unaweza jengea Kuta za nje au ni za ndani tu Click to expand... Mazuri sana, kwa kujengea nyumba, pia economy wise pia yanakata cost kwa 40%, nyumba haiwi na joto kabisa pia inakuwa noiseless!
gambagumu said: Hivi hiz tofali zinauzwa sh ngapi inaweza kuwa cheap? Vipi matumizi yake unaweza jengea Kuta za nje au ni za ndani tu Click to expand... Mazuri sana, kwa kujengea nyumba, pia economy wise pia yanakata cost kwa 40%, nyumba haiwi na joto kabisa pia inakuwa noiseless!
G gambagumu JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 2,336 Reaction score 3,155 Nov 8, 2023 #6 Okey Hebu nenda pale Nile machinery au poly machinery hapo ubungo business park Kuna wachina hapo ila bei zao ujipange kdg
Okey Hebu nenda pale Nile machinery au poly machinery hapo ubungo business park Kuna wachina hapo ila bei zao ujipange kdg