Kuna rafiki yangu anahitaji kununua mashine ya kuprint t-shirt na vitambaa..zenye uwezo wa kuprint picha kwenye t-shirt za rangi
ila hajui zinapatikana wapi maana tumetafuta Mwanza hazipo..pia zinapatikana kwa bei gani ambayo ni chip..?
natanguliza shukrani...!