The Donchop
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 294
- 381
unaumli gani?Habari zenu wanajamii wenzangu?
Naomba kusaidiwa. Mimi ni mwanamke ambaye mzunguko wa hedhi ni siku 28. Mwezi uliopita period yangu ilikua tarehe 23 october ambapo tarehe 29 oct na 30 oct nilifanya sex.
Tatizo limekuja kua toka tarehe 11 Nov hadi muda huu ninapata dalili zote za kuingia period tena. Mfano maziwa kuuma na kujaa sana, ninapata chunusi usoni kama vile ninapokaribia period wakati ndio kwanza siku ya 13.
Nimejaribu kupima mimba kwa kutumia pregnancy test hapa nyumbani lakini vipimo vinaonyesha negative.
Napata mashaka labda nina tatizo fulani au kwa wataalamu tafadhali msaada kwa hali hii inayonitokea, ni mara ya kwanza kupata hali kama hii maishani mwangu.
28 mkuuunaumli gani?
Kipimo kinaonyesha negativeUshanasa mimba wewe andaa lishe ya mtoto na pampas
mimba hiyo mara nyingine kipimo hicho kinadanganyaga28 mkuu
Habari zenu wanajamii wenzangu?
Naomba kusaidiwa. Mimi ni mwanamke ambaye mzunguko wa hedhi ni siku 28. Mwezi uliopita period yangu ilikua tarehe 23 october ambapo tarehe 29 oct na 30 oct nilifanya sex.
Tatizo limekuja kua toka tarehe 11 Nov hadi muda huu ninapata dalili zote za kuingia period tena. Mfano maziwa kuuma na kujaa sana, ninapata chunusi usoni kama vile ninapokaribia period wakati ndio kwanza siku ya 13.
Nimejaribu kupima mimba kwa kutumia pregnancy test hapa nyumbani lakini vipimo vinaonyesha negative.
Napata mashaka labda nina tatizo fulani au kwa wataalamu tafadhali msaada kwa hali hii inayonitokea, ni mara ya kwanza kupata hali kama hii maishani mwangu.
Nimekosea ni sep na octHii post umefanya C&P. Mbona hizo tarehe ni chenga sana.
Sina sababu ya C n P kweli nina shida mkuuHii post umefanya C&P. Mbona hizo tarehe ni chenga sana.
Nimerekebisha, nov nilimaanisha octMi hapo kwenye miez tu ndio umeniacha hoi.
Ok, kwa hiyo tar 23Sept ndio ulikuwa unaanza au ndio ulimazia?Nimerekebisha, nov nilimaanisha oct
23 nimemalizaOk, kwa hiyo tar 23Sept ndio ulikuwa unaanza au ndio ulimazia?
Ulianza tar ngapi23 nimemaliza
una mtoto?28 mkuu
Nimekuelewa ndugu.Sina sababu ya C n P kweli nina shida mkuu
Hapanau
una mtoto?