Hizbullah vx Israel

Docter Jine

Member
Joined
Dec 11, 2020
Posts
28
Reaction score
44
Hawa jamaa ni hatari aisee
YANI wameweza kupitisha drone juu ya KAMBI zote za jishi la IZRAEL bila ya kushtuka hata mmoja

Aisee KUMBE

I.T ni FANI
ya kukimbilia mzee


 
Amezoea kupigana na washika manati na makombeo, haya sasa kwa hizbu mavi debe 😁😁😁
 
Thubutu yao , hakuna ndege au kifaa chochote kinachoweza kuruka juu ya anga ya Israel bila kuonekana hata kdg!
 
Mbona video hamna naona screenshots tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…