mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
nawasubiriNgoja waje......!
una papuchi ya mtuno?kumbe papuchi za kutuna ni fashion
ngoja na mimi nianze nilikua naona aibu
Ni dili hila utaonekana una akili za usikukumbe papuchi za kutuna ni fashion
ngoja na mimi nianze nilikua naona aibu
kweli eehNi dili hila utaonekana una akili za usiku
kinena Chako kimetuna? vipi saizi ya papuchi yenyewe?kile huwana ni kinena kimetuna
Kufunga Ramadhan mji kama Dar au Mwanza sio lelemama unaweza kutamani ucpoji controlWana JF,
Wiki hii ni ya maajabu baada ya kumaliza bunge la bajeti, watu wengi wanaanza kurudi sasa makazini kwao. Kuna baadhi ya wanawake wamebuni mbinu mpya ya kutega wanaume, zile nguo za mazoezi almaarufu kama skini taiti sasa zimebadilishawa kuwa kivazi rasmi hadi kufikia kuivaa na top.
Hawakuishia hapo, wameamua sehemu ya mbele kwenye mali wanajaza bonge la pampas au pamba ili kutunisha uvimbe fulani. Unakuta mtu anatembea kama hana habari anakatisha mitaani kila mtu anaangalia jipu lilivotuna. Huu si uchokozi jamani, kwanini mnaharibu swaumu za watu au kwanini mlazimishe, si mwende tu huko baharini wapo wakale kibao kuliko kuja mjini kuvuna matusi na mishangao.
Ni hilo tu wakina dada wajistiri jamani.
Dar watu hawafungi wanasindikiza tu, wenye imani wanaendaga Zanbar , kwa dar huwezKufunga Ramadhan mji kama Dar au Mwanza sio lelemama unaweza kutamani ucpoji control
Sasa ofisi IPO Dar na makaz Dar ataendajeDar watu hawafungi wanasindikiza tu, wenye imani wanaendaga Zanbar , kwa dar huwez
tehteh...express yourself. ..don't kimbia
Ndo hapo lakn kwa Dar ni ngumu Sana maana funga mpaka ikamilike Ina masharti yakeSasa ofisi IPO Dar na makaz Dar ataendaje
Hawajazii na taulo au pampas,hayo ni mavuzi nasiku hizi umasikini umezidi,kununua gillete pesa hamna.Wana JF,