Jamaa amenikumbusha mbali,hahaha,nilikua na dem wangu,tulizoeana sana,we wer like 4yrs in a rlnshp,sasa tulizoeana kias cha hyo process ya ku pass gas/kujamba was normal,alikua anajamba everywer/ in the house had anajikimbia mwenyew,na vituko vingne ving,[emoji23][emoji23],..sasa now tume move on kila mtu kivyake bas namwangaliaga instagrm or whatsp anavyojishodoa n jinsi alivyo,she hot bytheway sasa hua nasemaga daah mtu mwingne anaeza asijue huyu dem kama hua anajamba kias kile.[emoji23][emoji23][emoji23] kwa jins pic zake za mitandaon zilivyo