Umejitahidi Leo, umeongea pumba yenye chengachenga zinazofaa kwa kuku wanao taga,ππ hebu chukua sumu ya panya hapo dukani nakuja kulipia kesho wakati wa kuzika...Haji manara anajitapa,mashabiki wanajitapa,viongozi wanajitapa kwamba Simba ni klabu kubwa. Hv ukubwa Simba uko wapi labda wenzangu mnisaidie.Yani kufika robo fainali Caf champions ligi baada ya miaka zaidi ya 15 ndo mnajimwambafai kwa kiasi hicho? Vipi TPMazembe au Vita wasemeje? Kujiona wakubwa ndio maana mnafukuza makocha ovyo ovyo huku mnaongoza ligi, maajabu ya Dunia aisee. Hv mnaelewa maana ya ukubwa wa club? Club inaendeshwa kwa majungu na fitina na bila weledi ukubwa wake uko wapi? Ni kweli Simba km ilivyo kwa Yanga ni miongoni mwa timu maarufu Africa mashariki na Afrika kwa ujumla lakn si kubwa kiivo. Kuna mengiiii sn ya kuendelea kujifunza ili kuufikia huo ukubwa wanaoutaja. Shida tunajidanganya sn, Ausems kaondoka kwa sababu ya uchanga wa club zetu ambazo hazitaki kujifunza miaka nenda rudi. Kwa staili hii mspobadilika Simba itarudi tena robo fainali baada ya miaka 15.
HahahahhaUmejitahidi Leo, umeongea pumba yenye chengachenga zinazofaa kwa kuku wanao taga,ππ hebu chukua sumu ya panya hapo dukani nakuja kulipia kesho wakati wa kuzika...
Ndo aliyemsajili FRAGYL?MO amepata hasara baada ya simba kutolewa klabu bingwa afrika mapema, hiyo ndio sababu kubwa ya kocha kutimuliwa
Kwenye mdomo wa HajiWatasema we ni mshabiki wa timu ya Wananchi eti. π
Mjibuni hilo swali kwani na mie majuzi niilijiuliza pia. Ukubwa wa Simba uko wapi?
Hahahaa. Itakuwa hivyo Mkuu. Sababu nje ya hapo si lolote si chochote. ππKwenye mdomo wa Haji
Hivyo kuwa namba 16 ndio ukubwa Mkuu? π€π€π€Afrika tuna timu zaidi ya 200, kwenye rank Simba/Lunyasi/Mnyama iko namba 16
Unashindwa kuiita timu kubwa kwasababu zipi tena bwashee?
ndio maana hujaiona Dar es salaam young africa hapo mama.Hivyo kuwa namba 16 ndio ukubwa Mkuu? π€π€π€
Halafu anadhani watakuwa hapo milele. Wasubiri ranking inayokuja baada ya UD Songo kuwaweka mahala pao.Hivyo kuwa namba 16 ndio ukubwa Mkuu? π€π€π€
hahaha wakati huo nyinyi mtapanda kwa nafasi ngapi?Halafu anadhani watakuwa hapo milele. Wasubiri ranking inayokuja baada ya UD Songo kuwaweka mahala pao.
Nakuunga mkono,Simba imefanya upuuzi wa hali ya juu.Haji manara anajitapa,mashabiki wanajitapa,viongozi wanajitapa kwamba Simba ni klabu kubwa. Hv ukubwa Simba uko wapi labda wenzangu mnisaidie.Yani kufika robo fainali Caf champions ligi baada ya miaka zaidi ya 15 ndo mnajimwambafai kwa kiasi hicho? Vipi TPMazembe au Vita wasemeje? Kujiona wakubwa ndio maana mnafukuza makocha ovyo ovyo huku mnaongoza ligi, maajabu ya Dunia aisee. Hv mnaelewa maana ya ukubwa wa club? Club inaendeshwa kwa majungu na fitina na bila weledi ukubwa wake uko wapi? Ni kweli Simba km ilivyo kwa Yanga ni miongoni mwa timu maarufu Africa mashariki na Afrika kwa ujumla lakn si kubwa kiivo. Kuna mengiiii sn ya kuendelea kujifunza ili kuufikia huo ukubwa wanaoutaja. Shida tunajidanganya sn, Ausems kaondoka kwa sababu ya uchanga wa club zetu ambazo hazitaki kujifunza miaka nenda rudi. Kwa staili hii mspobadilika Simba itarudi tena robo fainali baada ya miaka 15.
Ikifika mwakani uje uniambie mko namba ngapi napo.ndio maana hujaiona Dar es salaam young africa hapo mama.
Povu la nini? Kama ndogo basi nyamaza. Nenda uarabuni, brazil, marekani raia wa huko timu ya tanzania kisa subiri jibu..Haji manara anajitapa,mashabiki wanajitapa,viongozi wanajitapa kwamba Simba ni klabu kubwa. Hv ukubwa Simba uko wapi labda wenzangu mnisaidie.Yani kufika robo fainali Caf champions ligi baada ya miaka zaidi ya 15 ndo mnajimwambafai kwa kiasi hicho? Vipi TPMazembe au Vita wasemeje? Kujiona wakubwa ndio maana mnafukuza makocha ovyo ovyo huku mnaongoza ligi, maajabu ya Dunia aisee. Hv mnaelewa maana ya ukubwa wa club? Club inaendeshwa kwa majungu na fitina na bila weledi ukubwa wake uko wapi? Ni kweli Simba km ilivyo kwa Yanga ni miongoni mwa timu maarufu Africa mashariki na Afrika kwa ujumla lakn si kubwa kiivo. Kuna mengiiii sn ya kuendelea kujifunza ili kuufikia huo ukubwa wanaoutaja. Shida tunajidanganya sn, Ausems kaondoka kwa sababu ya uchanga wa club zetu ambazo hazitaki kujifunza miaka nenda rudi. Kwa staili hii mspobadilika Simba itarudi tena robo fainali baada ya miaka 15.