kalongo kalongo
New Member
- Mar 11, 2019
- 1
- 1
Wananchi wa Tanzania tumekuwa na changamoto za kimaisha kwa muda mrefu hasa katika kupanda kwa bei za bidhaa muhimu kwa matumizi ya kila siku. Ukiangalia bei za vifurushi katika mitandao yetu ya simu inapanda kila uchwapo, mafuta ya diesel, petrol, na nishati mubadala yaani gesi bei juu. Sasa na TANESCO wanaona wasiachwe nyuma katika kupandisha bei ya unit kinyemela . Kila Mtanzania yuko kimya kama haya mambo hayatokei nchini mwetu. Nashauri kuazishwa kwa vikundi vya utetezi mfano chama cha watumiaji wa umeme, au simu, gesi na mafuta ili pale mashirika haya yakipandisha bei, wawepo kututetea na kupinga ongezeko lolote la bei ili hali kipato cha Mtanzania kinazidi kushuka kutokana na kushuka kwa sarafu yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeme wa 10k unapata 28.1 units sasa sijui umepandaje....
Hebu check vyema mkuu mimi nmenunua jana umeme.
Sent using Jamii Forums mobile app
Slim5 slim5 slim5.....Haujapanda! Nimenunua jana na nimepata units zile zile za siku zote!
Malipo yamekamilika.37*********
GEPG23EMDB***32301
Units 84.3KWH
Token 1131 1962 8007 6776 1203
Cost 24,590.17
VAT 18% 4,426.22
EWURA 1% 245.90
REA 3% 737.71
TOTAL 30,000.00 24/03/19 13:12
Mpuuzi Kama huyu anayeleta mada bila ushahidi apigwe Ban. Anatuchonganisha na Rais wetu Mpendwa JPM
Hamisa 3 - 0 Zarina
Acha kumtisha ulijuaje kama atachangia huu Uzi,Mshindwe kuwapata waliomteka Mo unakuja na upuuzi kama huuSlim5 slim5 slim5.....
Izo token umeziacha full pasipo kuzificha...
Kama mtu anaitaji kukutia mkononi ni kwepesi sana....yaani anachukua tu izo token anakwenda tanesco kuuliza ziliingizwa kwenye mita gani
Wakishapata namba ya mita basi watapata information zote kuhusu wewe
Kwenye ulingo wa security tunasema be aware be secure
Unaweza kujisahau kitu kidogo sana but kinaleta majanga...
Uwezi jua mleta mada nae kalenga nini myb nia yake sio kuhusu umeme kabisa..
But kukusanya taarifa kama ivyo
Nimemaliza....
Twende na jpm2020
Slim5 slim5 slim5.....
Izo token umeziacha full pasipo kuzificha...
Kama mtu anaitaji kukutia mkononi ni kwepesi sana....yaani anachukua tu izo token anakwenda tanesco kuuliza ziliingizwa kwenye mita gani
Wakishapata namba ya mita basi watapata information zote kuhusu wewe
Kwenye ulingo wa security tunasema be aware be secure
Unaweza kujisahau kitu kidogo sana but kinaleta majanga...
Uwezi jua mleta mada nae kalenga nini myb nia yake sio kuhusu umeme kabisa..
But kukusanya taarifa kama ivyo
Nimemaliza....
Twende na jpm2020
oke ushafahamika tayar bora utoe fyekelo lako mana hadi nyumba unayoishi ishajulikana na sasa utulieHaujapanda! Nimenunua jana na nimepata units zile zile za siku zote!
Malipo yamekamilika.37*********
GEPG23EMDB***32301
Units 84.3KWH
Token 1131 1962 8007 6776 1203
Cost 24,590.17
VAT 18% 4,426.22
EWURA 1% 245.90
REA 3% 737.71
TOTAL 30,000.00 24/03/19 13:12
Transaction fee inakatwa humo humo kwenye Tsh 2000...Ukiondoa VAT 18%, EWURA 1% na REA 3% pia kuna Trx Fee ambayo imepanda kwa asilimia 1.1% (ilikuwa 0.00%) mathalani umenunua umeme wa elfu mbili (Tsh. 2,000/=) hapo kwenye VAT utakatwa Tsh. 291.83, EWURA Tsh. 16.21, REA Tsh. 48.64 wakati hii mpya sijui niite "transaction fee" (Trx) Tsh. 22.0,,,,,,kwa hivyo, jumla itakuwa Tsh. 2,100/= kwa makadirio ya shilingi elfu 2,000/=,,,,mleta mada nadhani kwa wale wanaonunua umeme kwa "mawakala" makhususi nadhani hiyo "fee" inawahusu, wengineo sidhani...
Sent using Jamii Forums mobile app
Country IconsKijana Hamisa na Zarina ndiyo nini aka ya Taifa Stars ni Hamisa acha kuwadhalilisha vijana wetu,Shida yote ni akina Makonda.
OK sawa kama hao ndiyo icons,basi tunasafari ndefu kweli.Country Icons