Hivi spika Anna Makinda hana wigi la aina nyingine?

Lile wigi watu wa njombe wanasema lina Nguvu fulani ya Kimira ambayo hataipata kama atabadilisha!!!!!!!!!!!!!
Ndio maana akivaa huwa anatisha usoni na kupitisha miswaada bila woga!!!!!!!
 
maisha ya mtu ni vile anavyo yaendesha mambo za wigi ni uhuru wake binafsi,mvuto mi mbona ananivutia wajameni!

Kuvaa wigi ni kujizalilisha na kumbuka mawigi ni nyele za wafu
Mama kweli anatia kinyaa
 
maisha ya mtu ni vile anavyo yaendesha mambo za wigi ni uhuru wake binafsi,mvuto mi mbona ananivutia wajameni!
Yaani! hawa wanaodai abadilishe wigi, wameambia huyu mama ni Miss Bunge?Kama wanataka abadilishe mitindo wakasimame mtaa wa Samora!Vimehuuuu!!?
 
Usijali, juzi kasaini Sh 280,000 mahali fulani, atakuja kivingine baada ya kwenda shopping
 
Hivi analisafishaga kweli?
 
maisha ya mtu ni vile anavyo yaendesha mambo za wigi ni uhuru wake binafsi,mvuto mi mbona ananivutia wajameni!
Sikushangai maana kama wewe ndo unamuuzia kwa nini asikuvutie? pia kama wewe ni magamba na umelelewa na fedha za magamba kwa nin usivutiwe nae?? ni haki yako ya msingi akuvutie maana upuuzi anaoufanya bungeni unaendeana na wishes zako. Big up makamba, nawe kanunue moja uvae kisha mpige picha ya pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…