The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,251
- 20,488
Wakina maiwezaIla mimi nafikiri watu wengi maarufu hua pia wana matatizo makubwa sana. We sema kipindi wakiwa kwenye peak hua umaarufu wao unafunika yale mapungufu lakini sasa umaarufu unaposhuka ndio yale mapungufu mengine yanaanza kuonekana