Bro upo?. Hongera sana kwa kuwahiKweli wanashangaza hawa Matopeni Fc...wangesubiri kwanza kitu kiwe rasmi sio kutaaamba.. poleni watani Walilia point Fc
Hahahaha nipo mkuuBro upo?. Hongera sana kwa kuwahi
Huyu dada humuwezi maana mwenzio kila anachokiongea ana hakika nacho tofauti na wewe unayelishwa kila kitu.Joseverest ukifata akili za huyo dada na wewe utakua mbumbumbu kama yeye
mwambie aoneshe wap viongoz wa simba wamewaambia mashabiki kua wame msaini Hicho kizee cha yanga
Mkodisho Fc upoKweli wanashangaza hawa Matopeni Fc...wangesubiri kwanza kitu kiwe rasmi sio kutaaamba.. poleni watani Walilia point Fc
pale mnapoelekeza akili zenu chinHuyu dada humuwezi maana mwenzio kila anachokiongea ana hakika nacho tofauti na wewe unayelishwa kila kitu.
Huyo unayemwita mzee kutwa kucha mnazusha kunasa saini yake mpaka picha yake mnaivisha mijezi yenu
Mngekesha mnalitaja jina lake kwenye magroup yenu?Hivi simba tumtake Niyonzima wa kazi gani
Simba imekamilika usajiri wetu ni mbele tu hawa wengine ni kenge katika mamba
Team mkodisho inawauma nini Niyonzima mmeshindwa kumlipa wenyewe nendeni mkamwangukie Manji na msahau kurudi [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yanga Mbona siwasikii tena ule uwanja wenu heka 700 kimbiji?
Hahaha nipo mtani aseehMkodisho Fc upo
Hii ndiyo shida ya kujibizana na mbumbumbu, tunazungumzia usajili wa Niyonzima anarukia ya uwanja..utadhani simba ina uwanja tayariHivi simba tumtake Niyonzima wa kazi gani
Simba imekamilika usajiri wetu ni mbele tu hawa wengine ni kenge katika mamba
Team mkodisho inawauma nini Niyonzima mmeshindwa kumlipa wenyewe nendeni mkamwangukie Manji na msahau kurudi [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yanga Mbona siwasikii tena ule uwanja wenu heka 700 kimbiji?
Mngekuwa mnajitambua mngefanya huu ufala?Mpaka mje kujitambua yanga tupo mbali
Wewe pompolilo kweli hilo tu umeliona? Hivi umeenda kumfulia Manji wenu Leo?Hii ndiyo shida ya kujibizana na mbumbumbu, tunazungumzia usajili wa Niyonzima anarukia ya uwanja..utadhani simba ina uwanja tayari
vipi uliichangia team yako akati inapiga magot kuomba msaada wa michango?Mpaka mje kujitambua yanga tupo mbali