Kiranga Platinum Member Jan 29, 2009 71,733 107,008 Jun 10, 2023 #21 Songopwe said: Kifupi ni kwamba hapo ulipo unasumbuliwa na mapepo tu wewe si bure. Jiulize kwanza kwamba kwa nini Kuna uchawi na wachawi? Kwamba mtu anasafiri kwa ungo na anafika na kurudi. Sasa yupo sasa muweza wa yote kuliko hata wachawi. Naye ni Mungu. Click to expand... First things first, hayo mapepo yenyewe huwezi kuthibitisha yapo. Second thing, huo uchawi huwezi kuthibitisha upo. Hizo safari za ungo huwezi kuthibitisha zipo. Huyo Mungu huwezi kuthibitisha yupo. Kama unabisha, thibitisha vyote hivyo vipo kweli.
Songopwe said: Kifupi ni kwamba hapo ulipo unasumbuliwa na mapepo tu wewe si bure. Jiulize kwanza kwamba kwa nini Kuna uchawi na wachawi? Kwamba mtu anasafiri kwa ungo na anafika na kurudi. Sasa yupo sasa muweza wa yote kuliko hata wachawi. Naye ni Mungu. Click to expand... First things first, hayo mapepo yenyewe huwezi kuthibitisha yapo. Second thing, huo uchawi huwezi kuthibitisha upo. Hizo safari za ungo huwezi kuthibitisha zipo. Huyo Mungu huwezi kuthibitisha yupo. Kama unabisha, thibitisha vyote hivyo vipo kweli.