Kupenda maumbo makubwa ni tabia ya muda mrefu Africa. Hii inathbitishwa hasa na maneno yaendanayo na hicho kitu tangu zamani, kuanzia wowow, mgongo, kujazia nk. Katika jamii nyingi ukioa akiongezeka umbo ni sifa kwako mwanaume.
Tukitaka kuliangalia hili vizuri, lizungumzwa kwa kuchambua wanawake ambao hawana "wowowo"---na ninafikri hata umaarafu wao sasa hivi umetokana sana na mashindano ya umiss pamoja na sinema za mahagribi---maumbo ya kule ni matiti makubwa na makalio madogo ila nao wanaanza kupenda wowowo sikuhizi, kina minaj nawengine waongezao...
Kwa wale ambao wanataka kupata the 'real' experience ya maumbo 'namba nane' waende southern Africa -hasa watoto wa kiXhosa, San (khoisan), Batswana, --kama ni kuangalia tu shingo yako lazima ikukatike....Pia kuna iyo mbegu ya maNilotes hapo Rwanda na Uganda...