Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?


Hahahahaha. . . Yeahhh hiyo ndio style yao. Wanapenda mahusiano ya tajiri na kijakazi, bwana na mtumwa.

Aiseee. . Basi nakuombea ufanikiwe kumpata. Ila usimchizishe bana.
 

Aiseee. . .
We utakua mmoja wa wale watu ambao hua wanawafanya mabinti waonyeshe hawanazo kwasababu kwenu mtu kufikiria/kuwazua mambo kunapunguza uzuri wake.

Nwy hamna aliposema wote bana. . kuwa huru kujiweka nje ya kundi.
Hiyo yako red na ya Musimo kwenye Black oi au Sijamuelewa manake anasema hata wale wasio anzisha thread kuhusu Lizzy! Hapo wacha nisibishe!


Hizo Bold inaonekana wewe ni Mtunzi Mzuri wa Hadithi za Kufikirika hebu niambie huo umoja wa watu wanaowafanya mabinti waonekane hawanazo ni upi huo sijawahi kuusikia Tafadhari nifahamishe mie Ni Mgeni.

Kwetu kufikiria na kuwazua jambo la mtu binafsi ila kama una Mtu ndani mwako yeye yupo na uso wa huzuni au anawazua kitu busara ni kumuacha amalize Stress zake ndipo umsemeshe kwani Mtaelewana
 

Owwwwwwwkey.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…