Hivi kwanini tunakufa?

Kabla hujafikiria sana jiulize kwann tunalia,,
Na kwann tunacheka?

Yote hayo Mungu kayaumba ktk ukamilifu wa binadamu..

Binadamu anapokufa ,,pale ndy ameshakamilika tayari.
Binadamu hakamiliki hadi siku Ile anakufa.
 

Tena wewe tutapokezana chepe fasta fasta ili shughuli iishe mapema
 
Rudisha avatar picha Yako ya obama tuliyoizoea
 
Tunakufa kuwapa wengine wasurvive ,mnk hamuwezi kuishi wote
 
Waroma 5:12 Hiyo ndiyo sababu, kama vile kupitia mtu mmoja dhambi iliingia katika ulimwengu na kifo kupitia dhambi, basi kifo kikaenea kwa watu wote kwa sababu wote walikuwa wamefanya dhambi.
 
....nature mkuu. Hii dunia ina mamilioni ya miaka. Unadhani bila kifo hii dunia ingekuwaje?

Ulishajiuliza bila wale wanyama wanaokula wanyama wenzao wasingekiwepo ingekuwaje? Wale nyumbu vp na wanavyozaliana. Simba chui, mbwa mwitu, duma nk wao kazi yao ni kuwapunguza.

Nature mzee baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…