Sawa mkuuWakuu, hata historia ya nchi yetu utakutwa inaandikwa kwa maslahi hivi ya upande fulani.
Soma nukuu hii na imetokea mwaka huu tu lakini pana kikundi kinataka kutuaminisha kuwa waondo wa mwanzo kufika fainali ya soka hapa Afrika.
"YANGA SIO TIMU YA KWANZA TANZANIA KWENDA FAINALI MICHUANO YA CAF
Ameandika Ahmad Mkunda [emoji3578]
"Nitoe pongezi kwa Yanga kwa kufanikiwa kutinga hatua ya fainali ya kombe la Shirikisho, kwa hakika mmejiandikia historia mpya wenyewe. Kazi nzuri mmeifanya
Lakini naomba niweke record sawa kuwa Yanga haitakuwa timu ya kwanza kutoka Tanzania kutinga fainali ya makombe yanayoandaliwa na CAF hata ikichukua ubingwa haitokuwa ya kwanza"
Timu ya wanawake ya Fountain Gate School ndio timu ya kwanza kutoka Tanzania kuchukua ubingwa wa michuano ya CAF ikifanya hivyo katika mashindano ya CAF School Competition yaliyofanyika Afrika Kusini [emoji1221] miezi miwili iliyopita na kuvuta mkwanja mrefu zaidi ya million 700".
Tena hawa hawakupewa ndege na serikali.
Kinda onyonga lazima aongezewe mkatabaKwann unahangaika hivi?
Inakusaidia nini? Unapata ahueni kwa kukosa Makombe yote msimu huu?
Kaeni na Onyango mezani mumuongezee mkataba
Hapa ndo kwenye tatizo nadhani ni la kitaifa sasa, pana timu au watu wanafanya makubwa na kuiletea heshima nchi lakini husikii mamilioni yakitolewa. Aibu.Pia wakumbushe Simba Queens wameshafika nusu fainali ya CAF Champions League ya Wanawake wakati "Yanga Mademu" haijulikani hata kama ipo.
Inasikitisha ila waache waendelee kulelewa. Binafsi ningependa kuona Simba wanajiweka mbali kabisa na wanasiasa maana wameonyesha hasa mapenzi yao yalipo. Mwanasiasa mmoja mmoja anaweza kuipenda Simba ila mfumo wa nchi hii utaibeba Yanga kabla ya Simba, na wanasiasa hao wanalazimika kutii matakwa ya mfumo, hili viongozi na wanachama wa Simba wanapaswa kulijua vizuri.Hapa ndo kwenye tatizo nadhani ni la kitaifa sasa, pana timu au watu wanafanya makubwa na kuiletea heshima nchi lakini husikii mamilioni yakitolewa. Aibu.
Ujinga ni mzigo!Pia wakumbushe Simba Queens wameshafika nusu fainali ya CAF Champions League ya Wanawake wakati "Yanga Mademu" haijulikani hata kama ipo.
Kimbilia KIKWETE INSTITUTE haraka sana.Inasikitisha ila waache waendelee kulelewa. Binafsi ningependa kuona Simba wanajiweka mbali kabisa na wanasiasa maana wameonyesha hasa mapenzi yao yalipo. Mwanasiasa mmoja mmoja anaweza kuipenda Simba ila mfumo wa nchi hii utaibeba Yanga kabla ya Simba, na wanasiasa hao wanalazimika kutii matakwa ya mfumo, hili viongozi na wanachama wa Simba wanapaswa kulijua vizuri.
Waweke kumbukumbu.Watakuja kubisha kama walivyobisha kwa Simba ya wanaume.Pia wakumbushe Simba Queens wameshafika nusu fainali ya CAF Champions League ya Wanawake wakati "Yanga Mademu" haijulikani hata kama ipo.
Punguza wivu.Wakuu, hata historia ya nchi yetu utakutwa inaandikwa kwa maslahi hivi ya upande fulani.
Soma nukuu hii na imetokea mwaka huu tu lakini pana kikundi kinataka kutuaminisha kuwa waondo wa mwanzo kufika fainali ya soka hapa Afrika.
"YANGA SIO TIMU YA KWANZA TANZANIA KWENDA FAINALI MICHUANO YA CAF
Ameandika Ahmad Mkunda [emoji3578]
"Nitoe pongezi kwa Yanga kwa kufanikiwa kutinga hatua ya fainali ya kombe la Shirikisho, kwa hakika mmejiandikia historia mpya wenyewe. Kazi nzuri mmeifanya
Lakini naomba niweke record sawa kuwa Yanga haitakuwa timu ya kwanza kutoka Tanzania kutinga fainali ya makombe yanayoandaliwa na CAF hata ikichukua ubingwa haitokuwa ya kwanza"
Timu ya wanawake ya Fountain Gate School ndio timu ya kwanza kutoka Tanzania kuchukua ubingwa wa michuano ya CAF ikifanya hivyo katika mashindano ya CAF School Competition yaliyofanyika Afrika Kusini [emoji1221] miezi miwili iliyopita na kuvuta mkwanja mrefu zaidi ya million 700".
Tena hawa hawakupewa ndege na serikali.
Kimbilia KIKWETE INSTITUTE haraka sana.
Mbona mlipo timiza lengo lenu namba moja (azimio kwenye MKUTANO MKUU) la kuifunga Yanga ,Rais katoa pongezi kwenu wakati Uto aliponyakua Ngao ya Hisanii (JAMII) hakupongezwa.
Mwaka huu sijafuatilia lakini miaka ya nyuma mkibeba kombe lenu la ROBO FAINALI mnaitwa mpaka BUNGENI kwa manazi wenzenu NDUGAI, TULIA, MAJALIWA etc.