Hivi kwanini binadamu wanalewa pombe Kali hawaogopi kifo cha kuhangaika usiku

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,579
44,826
POMBE Kali hizi k vant,konyagi ukinywa ukija kulala usiku unaamka Kama vile unataka kufa yaani unahangaika unatafuta maji unakuta hupati Tena usingizi mpaka saa 11.sasa maisha ya Nini hayo ya kujitesa Mwisho ufe kwa high blood pressure au stroke.ndo hivyo lakini neno langu sio SHERIA hata nikisema Sana POMBE zitaendelea kunywewa tu.lakini ulevi hauna faida Wala maana zaidi ya ku suffer tu.mwisho wa siku UKAWA mlevi wa kupitiliza ukaacha hata kufuatilia maendeleo ya mtoto huo Sasa utakuwa sio ulevi juo utakuwa Ni wehu.lakini salute kwa watu wote wanaokula vyombo na bado Mambo yao yanaenda Kama kawaida.baba zetu majumbani na wale wa maada maalum ya walevi najua wengi wanalewa Ila kwa akili Sana lakini 80% ya vijana below miaka 25 wanalewa hatari na hawana kitu katika maisha hela sijui Ni stress za aina gani hizo.mtu Kama huyo asiyeshaurika anatakiwa apatiwe tiba gani Zaidi ya kuachwa aendelee ku suffer?
 
Iko mezani hyooo
Kila mtu na starehe yke

Ova
 
We mzee kwani unanisaidia kununua jombii..fuata yako?.unadhan barabara zitajengwa na nn
 
oooohoooo, mzeee watakuandama humuu, tena mda huu ndio wapo mzigonii
 
Mimi kuna muda nahisi ninywe tu nilerax kidogo duniani mambo mengi
 
Pole kwa yaliyokukuta
 
Mkuu pima BP mara kwa mara ukigundua imetia timu acha pombe kwani nimepoteza jamaa kadhaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…