hakuna hata siku moja mwanamke mwenye busara atamfunza binti wizi kwenye ndoa, ukiona hivyo ujue ni tabia ya mtu binafsi tuHapo kwenye red unamaanisha nini haswa? Au ni namna ya kufanya wizi na kuficha siri?
na birthday party nayo?Kitchen party ni ujinga na upuuzi period!!
pole mwaya, ulienda zipi hizo?!!Kicheni party sizipendi ni wizi mtupu kwa kweli...mchango utoe na zawadi upeleke.......halafu zingine utasikia kichefu chefu manake wazee wazima wanakata viuno hadi wanavua nguo..loh ndio kufundwa gani huko!
1) ni party kama zilivyo nyingine i.e birthday , anniversary n.k
2) hiyo kuchangishana ni utaratibu waliojiwekea kina mama kila inapotekea shughuli kama hiyo, kwajili ya vyombo vya binti kuanzia maisha
3) sio wanawake wote wanaopata bahat ya kufunga ndoa, siku hii unafurahi pamoja na wanawake wenzio kwa kuwa legally announced Mrs some one,
4) huwa sio mafundisho in such, ni kushare experience na wanawake wenzio ya maisha ya ndoa na wanawake wenio.
NOTE sio wote wanaofunga ndoa ni wenyeji katika hii, wengine huwa ni wageni kabisa na that day inakuwa ni kwaajili ya kufundishwa kweli.
Wee Msikonge, unategemea watoto wetu waliojitunza wapate wapi vyombo vya kuanzia? Hujui kwamba sasa hivi harusi ni gharama? Wacha uchokozi
ukishatoa hela ya mchango ndo hiyo hiyo inatumika kununulia zawadi, ukija na nyingine ni mapenzi yako binafsi. by the way wanaoletaga zawadi za maana ni wale ndugu na marafiki wa karibu sana the rest ni vibakuli vya plastic na tukanga twepesi my diahivi huoni zimekuwa kero, kama mnataka sherehe, send-off haitoshi! Sherehe kama sherehe zingine, kwa nini basi yeye mwenye sherehe asigharamie mwenyewe alafu awaarike ninyi ndio mje kumpa zawadi! badala yake anawalazimisha mumfanyie bila kujua mmekuwa mkia ugali maharage kwa mwezi mzima ili ku'save ada ya mtoto! tena unakuja na kiwango kabila, SH 20,000/ 30,000! mna dhambi ninyi, Mungu anawaona!
Wee Msikonge, unategemea watoto wetu waliojitunza wapate wapi vyombo vya kuanzia? Hujui kwamba sasa hivi harusi ni gharama? Wacha uchokozi
na birthday party nayo?
wapendwa, kuna dukuduku ambalo nimekua nalo kwa miaka sasa hasa inapofikia muda wa binti/mama kutaka kufunga harusi. Utakuta kwenye vikundi au kinamama wanalazimishana kuchangishana michango kisa wafanikishe kuwepo kwa kitchen party. Hii inakolea zaidi unapokuta watu waliokuwa wakiishi pamoja na sasa wanawatoto, wanaamua kufunga ndoa, mke (mama) anakomalia afanyiwe kitchen party kwa juhudi kubwa. majilani wanajibana kumchangia kwa kuepuka kutengwa. Sasa hebu nisaidieni, mantiki ya hii hasa ni nini?: YouTube - NICHAKO MOYEWE KIKATE -HOT KIUNO..
Kama ni mafundisho, hivi huyu mama aliyeishi maisha yake yote anaweza kufundishika kwa masaa mawili au manne ya siku hii moja na akabadilika kuwa bora zaidi! Katika pekua pekua nimebahatika kuingia ndani ya mambo yanayotendeka tafadhali jionee mwenyewe kwa kubofya hapa
Kwanza huyo anayekata kioni ana huhakika kuwa huyo mlengwa anamzidi? Halafu mafunzo hayo si ya vitendo kwani huyo mkatikaji alitakiwa kila style anayoonyesha iwe live kwa maana ya kwamba awe amebana original shaft. Na hili sherehe isichukue muda mrefu basi kama kuna style 20 basi itabidi kuwe na pair 20 - original shaft 10 na original samosa za nyama ya kusaga 10. Kukata kiono namna hiyo si kwanza ni mzuri kwenye futi 6!!
Faida yake ni kumwambia mtarajiwa kuwa kuna maana mbili za kitchen - chumbani na jikoni kwenyewe - hii ni slang ya wanawake wetu kwani hufananisha jiko na chumbani - kule kuna kuchambua, kupika, kupakuwa na kula vile vile. Hasara ni kwamba mengine ni ushetani kama kwenda kinyume na maumbile mara moja moja. RC wanasemina za ndoa, ni nzuri mno kuliko hiyo kitchen party maanake kuna somo la reproduction na explore sensitive parts of the sex organs and how to make preparations and the like!
Kama mwanamke ni RC, na amehudhuria semina ya ndoa, basi kitchen party haitakiwi; kama ni hizo zawadi si wampelekee siku ya send off na reception!!!!
Hongera mtoa mada; kwa hakika mada hii ibebainisha ukweli wa hizi kitchen party hazina maadili mema kwa muolewa na ndizo kwa kiasi zinachangia ndoa za leo kutodumu.Maana halisi ya hii sherehe imepotoshwa kwa kiasi kikubwa na kukosa umaana wake. Kitchen party(sherehe ya kumufunda mwali) ilikuwa ni ya kina mama tu waliokuwa na uelewa wa kufunda(kufundisha) mambo mema ya ndoa kwa muolewa; wamaume na watoto hawakuruhusiwa kabisa kuwepo; sasa leo sherehe inahusisha paka wanaume na watoto; pia imekuwa si yakufundisha mambo muhimu ya ndoa bali ni matusi tupu.Nafikili sasa jamii inahitaji kukumbushwa turudie utamaduni wetu.