Hivi kitchen party zina maana (+vely) kwa wanaoanza ndoa?

Hata mimi naonaga ni upotevu wa Muda na fedha
kwani nyingi hufundisha vitu ambavyo not
applicable at all
 
Inategemea na nani anafanya hiyo kitchen party.............ikifanywa na ma-aunt wa mujini ndo hayo ya kufundishwa mambo ya ajabu ajabu na yasiyo applicable,but kuna watu wanafanya nyingine utafikiri uko kanisani,watu wanakufunza kwa kutumia neno la Mungu na misingi ya dini na hayo mambo ya vyombo yako kama kawaida...........Ila ni ukweli,kwa kuna nyingine fulani ni upuuzi mtupu!
 
Ndugu zangu ninaomba kuuliza zaman kulikuwa na unyago hii ilikuwa ina2mika sana kwa ajili ya kuwafunza wanawake ila kutokana na maendeleo ndo kunaki2 kikaja kinaitwa kichen part nilikuwa ninauliza mana hz kichen part ukiwa nje hayo maneno wanayo2mia kumuelekeza mwanamke yan huwa hayana nadhaa mana dah! Hebu 2saidiane mm ninaona wanamwalibu mwanamke labda anachopata ni vyombo 2uu ila wanamtia kibur 2uu au mnaonaje?

wanampa tactics za kufyatuliwa bila wewe kujua,
 
mtoa mada ni she au he.kama ni he mjomba unatisha!! unackilizaga kw nje!! respect
 
Inaweza kujenga au kuboa..yote kwakutegemea uwezo wa kufikiri alio nao mhusika.Kinachotakiwa hapo ni mhusika kuchuja anayofundishwa huko!Mazuri anachukua...mabaya anaacha!Akiwa somba somba ndo itakua hasara badala ya faida!
 
ni kupewa vitu vya kutumia ndani tu zawadi, zamani ilipoanza ilikuwa wanachukua muda kuongelea ya ndani now nasikia kula kunywa ktoa michango
 
Inategemea na nani anafanya hiyo kitchen party.............ikifanywa na ma-aunt wa mujini ndo hayo ya kufundishwa mambo ya ajabu ajabu na yasiyo applicable,but kuna watu wanafanya nyingine utafikiri uko kanisani,watu wanakufunza kwa kutumia neno la Mungu na misingi ya dini na hayo mambo ya vyombo yako kama kawaida...........Ila ni ukweli,kwa kuna nyingine fulani ni upuuzi mtupu!

hapo ya kanisani nimekuelewa, ila kama haujaelewa mambo ya kanisani toka unapata kipaimara basi sidhani kama utaelewa kwa kupewa somo la nusu saa au robo saa, kusema kweli ni uharibifu tu wa hela,labda hao wanaofanya wanazo,lakini ukumbuke ana mtoto wa shangazi yake au mjomba anashindwa hata kumchangia ada.
sijaolewa bado,ila nikija kuolewa mimi huo ujinga siufanyi, nitafuata mila za kwetu ambayo unaitiwa mashangazi,bibis wanakupa somo not less than 2 weeks mkiwa faragha,and few people,na somo unalielewa kuliko yule aliyewekwa pale ukumbini na ma mziki. ndio maana hatuendelei,mtu anaona bora astarehe kwa usiku mmoja kuliko kumsaidia mwenye shida.
nina uchungu sana wa hela,sijui kwa vile naitafuta mwenyewe.
 
Inapoteza muda kwakweli.
Watu wanaolewa tayari wana mimba na wengine washazaa watoto hadi 5 unafanya kitchen party unafundishwa nini wakati mambo yote ushayajua mapemaa.
 
mmhhh mie ikifika hiyo sku nipeni tu zawadi zangu nitimue .....

mmmh usema ukweli ka hujamsikiliza mama yako au shangazi zako
jinsi ya kumtunza mumeo tangu ulipo kuwa mdogo..

mmmhhh hata ufanyiwe kitchen part 20 haitasaidia..
 
mtoa mada ni she au he.kama ni he mjomba unatisha!! unackilizaga kw nje!! respect

kaka ukiwa nje bar unasikia wanavyoonge kwan kumb sinawekwaga sound proof za bei ndogo alafu pia hata anavyo kuwa anafanya unaona
 
Back
Top Bottom