Who told you gegedo kuingia huko ni dhambi? Anglican church wanafungisha ndoa za jinsia moja. Hivi nyie hizi dini mmeletewa na hao wazungu halafu leo mnajidai ndo mnajua zaidi kuliko wao?
Ingekuwa dhambi kanisa lingefungisha ndoa za jinsia moja. Ama kweli ukose mali upewe akili.
Sasa kwani jamaa zake mkeo unawajua? Wanaweza kua mabubu flani hivi amazing kama wewe ulivo bize na hao wako wenye vigugumiziJamaa yake yupi?