herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 2,305
- 3,989
Ha ha haaaaaaaaaa!Watangazaji kama hao ukimuuliza vyeti atakuja na begi zima.
jana nimemsikia mmoja kasema "wengi walitamani kombe lichukuliwe na Waafrica lakini ndio hivyo limeenda Algeria".
Ila nawe mkuu tutahitaji kukuchunguza aisee! Yaani bado unaweza kuwa na mda wa kusikiliza hyo Radio station kweli?Nipo nasikiliza kipinda flan hapa home kinachoitwa #weekendfever ninachovutiwa ni mziki tu unaopigwa hapa ila huyu mtangazaji cjajua n kwa nn amefanikiwa kupata kazi/kapewa kipindi na wakati hana hata uwezo wa kujieleza kiasi kwamba hata me ninisiye mtangazaji kwa 90% ninauhakika namfunika alikuwa akielezea movie mpya ya lion king na mmkanganyiko wa wanaafrika mashariki kutokana na kukosa uhusika katika hiyo filam ikiwa kunauhusika wa baadhi ya tamaduni na lugha ya kiswahili ambayo hutumiwa na wanaafrika mashariki tatizo linapo kuja jamaa katumia nusu saa kuelezea na pasipo kueleweka akibaki kujing'atang'ata tu nnachojiuliza je ni kwamba jamaa alipewa kazi sababu ya vyeti vyake or ni nini.? Coz kutangaza hajui kabisaaa.,
Aisee Dialo analocha sana..nilienda mwezi April nikakuta wafanyakazi wanalala pale nje wameweka na vyandarua kabisa hawataki kuondoka hadi walipwe...Matokeo yake ndo kama haya ya kina Mbudu the boss"The weekend Monster"Sikiliza redio za kueleweka mkuu
Hiyo redio kuna watangazaji walikuwa wanadai mishahara karibia ya miezi 14,sasa unategemea nini kwa redio kama hii??
Watangazaji kama hao ukimuuliza vyeti atakuja na begi zima.
jana nimemsikia mmoja kasema "wengi walitamani kombe lichukuliwe na Waafrica lakini ndio hivyo limeenda Algeria".
Hiyo media wanabebana uzuri ni kwamba anayebebwa anajuaMkuu siku hizi ukijuana na watu umeula.
Hayo mambo sijawahi kuona I.T.V na radio 1.
hahaaa ko wa algeria sio wa AfrikaWatangazaji kama hao ukimuuliza vyeti atakuja na begi zima.
jana nimemsikia mmoja kasema "wengi walitamani kombe lichukuliwe na Waafrica lakini ndio hivyo limeenda Algeria".
kumbeba mtu sio tatizo ila tatizo la mtu unayembeba anafanya kile kitu kwa kiwango ganHiyo media wanabebana uzuri ni kwamba anayebebwa anajua
kumbeba mtu sio tatizo ila tatizo la mtu unayembeba anafanya kile kitu kwa kiwango ganHiyo media wanabebana uzuri ni kwamba anayebebwa anajua