educator2025
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 412
- 471
Group C:2002 FIFA World Cup Group C
Brazil won all three games to progress, whilst China PR were eliminated without a goal or a point. Costa Rica's leaky defense led to them being eliminated on goal difference, allowing Turkey to claim the runner-up spot.
[TABLE="class: wikitable"]
[TR]
[TH]Team
[/TH]
[TH="width: 25, bgcolor: #F2F2F2"]Pld[/TH]
[TH="width: 25, bgcolor: #F2F2F2"]W[/TH]
[TH="width: 25, bgcolor: #F2F2F2"]D[/TH]
[TH="width: 25, bgcolor: #F2F2F2"]L[/TH]
[TH="width: 25, bgcolor: #F2F2F2"]GF[/TH]
[TH="width: 25, bgcolor: #F2F2F2"]GA[/TH]
[TH="width: 25, bgcolor: #F2F2F2"]GD[/TH]
[TH="width: 25, bgcolor: #F2F2F2"]Pts
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]Brazil[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]11[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]+8[/TD]
[TD]9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]Turkey[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]+2[/TD]
[TD]4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]Costa Rica[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]6[/TD]
[TD]−1[/TD]
[TD]4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]China PR[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]9[/TD]
[TD]−9[/TD]
[TD]0
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Naangalia mechi ya USA vs Ghana imenifanya nifikirie kama ndugu zetu wacheza karate na kutengeneza vitu feki kama walishawahi kushiriki (si kuchukua) kombe la dunia au nao ka sisi TIA MAJI TIA MAJI
Naangalia mechi ya USA vs Ghana imenifanya nifikirie kama ndugu zetu wacheza karate na kutengeneza vitu feki kama walishawahi kushiriki (si kuchukua) kombe la dunia au nao ka sisi TIA MAJI TIA MAJI
Mkuu hata kama hujui, ukigoogle sekunde kadhaa utakuwa ushajua.
hii habari imeenea na inarithiwa vizazi na vizazi.nasikia wamewahi shiriki ila walifungiwa kwasababu walikuwa wakienda mapumziko(half time) wanaorudi uwanjani ni kikosi kingine kabisaaaa na ilikuwa ngumu kugundua kwasababu wanafanana.
Ila watu walikuwa wanashangaa "mbona hawachoki kama team zingine?
Nakumbuka walishiriki 2002, ila sijawahi sikia India
Warishashirikigi=sio kiswahili sanifu wewe ccm nini
Nani amekua China wanatengeneza vitu feki kijana tembea uone by the way mwaka 2002 walishiriki nilicheka sn wakati walipocheza na brazil ilitokea faulo basi mpigaji alikuwa Roberto Carlos alivopga mpira ule wa adhabu ulitinga wavuni moja kwa moja uku wachina wakikwepa lile shuti kali.
Bado unaamini china ni watengenezaji wa vitu feki?
Ni kweli china ni mabingwa wa kutengeneza vitu feki mbona unakuwa mbishi hivi,
Bado unaamini china ni watengenezaji wa vitu feki?