VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 6,140 Reaction score 18,007 Jul 26, 2012 #1 Timu ya soka ya Hispania inayoshiriki michuano ya Olimpiki nchini Uingereza,imechezea kichapo cha bao moja kwa bila toka kwa Japan. Ni katika mechi ya ufunguzi wa michuano hiyo. Kazi imeanza...
Timu ya soka ya Hispania inayoshiriki michuano ya Olimpiki nchini Uingereza,imechezea kichapo cha bao moja kwa bila toka kwa Japan. Ni katika mechi ya ufunguzi wa michuano hiyo. Kazi imeanza...