Kununua hisa si kama kilimo cha mahindi (hakuna kipindi maalumu). Ni sawa na bei ya mafuta ktk soko la dunia. Pitia taarifa za fedha, mipango ya kampuni, utendaji kazi wa viongozi, ....kisha fanya maamuzi. Ni vizuri kununua bei ikiwa chini. Nwaka 2012 - 2013 hisa za NMB zilikuwa kama Tsh. 800, CRDB Tsh. 150