Hipi Kali Pixel 4a 5g Vs pixel 5a 5g ?

Sioni advancement kubwa sana kwenye performance yani walichokifanya wameichukua 4a kama ilivyo wakaiongezea ultrawide angle, battery capacity, wakaipa IP67 na kuweka aluminium body na kupata 5a. Go for the 5a anyway.
 
5a Iko njema betri Inakaa na chaji na performance imeongezeka

Ila 4xl inashape na design nzuri kuliko 5a sipendi simu ZENYE rear fingerprint
 
Sioni advancement kubwa sana kwenye performance yani walichokifanya wameichukua 4a kama ilivyo wakaiongezea ultrawide angle, battery capacity, wakaipa IP67 na kuweka aluminium body na kupata 5a. Go for the 5a anyway.
+water resistant je
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…