Kwa mrusi 1 wanaondoka wa ukraine 20
Wakomboe maeneo kama kweli wanaua Russians,sio kuleta twaarab.View attachment 2911008
More than 65 Russian soldiers have been killed in a Himars rocket strike on a military base in the Donetsk region, it has been claimed.
Russian military bloggers reported that three Himars rockets struck the training ground of Russia’s 39th Separate Guards Motorised Rifle Brigade in the occupied village of Trudivs’ke in southern Donetsk, killing over 65 troops.
Pictures shared on social media showed dozens of bodies strewn across a field as others were lined up by survivors.
The strike was launched at around 9am on Tuesday when the military brigade was forming up, it is reported. An unknown number of Russian soldiers were injured.
Rudisheni miji iliyotekwa.Taarifa kama hizi jihadists hawapendi kabisa kusikia lakini ingekuwa Ukraine ndio wamepatwa na hayo majanga nafasi ingekosekana humu ya watu wengine kuchangia.
Lakini mtafanyaje ndio vita vilivyo haiwezekani eti upande moja ndio uwe unapoteza, hilo halipo.
Kwa siku za karibuni Marekani wamepata namna ya kucheza na kifaa wanachotumia Russia ktk ku-jam GPS inayotumiwa na Himars katika ulengaji shabaha ndio maana hayo sasa yanatokea.
Wanajitaka!?Nikajua wamevunja daraja la Crimea
Nikajua Avdiivka imerudishwa!View attachment 2911008
More than 65 Russian soldiers have been killed in a Himars rocket strike on a military base in the Donetsk region, it has been claimed.
Russian military bloggers reported that three Himars rockets struck the training ground of Russia’s 39th Separate Guards Motorised Rifle Brigade in the occupied village of Trudivs’ke in southern Donetsk, killing over 65 troops.
Pictures shared on social media showed dozens of bodies strewn across a field as others were lined up by survivors.
The strike was launched at around 9am on Tuesday when the military brigade was forming up, it is reported. An unknown number of Russian soldiers were injured.
telegram ni Russia madeUkiangalia kwenye telegramu Ukraine anateseka sana
ulipotoka drs la kwanza uliingia drs la 7 ?Wakomboe maeneo kama kweli wanaua Russians,sio kuleta twaarab.
Wakomboe maeneo kama wanaweza.
Ugomvi utaishia kwa ZeleWanajitaka!?
Naona umefufuka hahahga ila izi taarifa zipo toka majuzi mji wa adviinka ulivyoangua kwanza walianza na taafira ya kuangusha ndege nne za urusi Leo wamekuja na taarifa izi naona yote ni kuwapa wapiganaji wao ari mpya ya kupigana na kuwaondolea akilini kile walichofanyiwa na viongozi wa juu kuwatelekeza na kutoa amri ya kuachia mji dakika za mwisho ambapo tayri askari 1500 wameshakufaBaadhi yao hawa hapaView attachment 2911242
Hiii picha ina ukakasi sana askari wengi wa urusi wanafungaga vitambaa vyekundu au vyeupe mguuni au kwenye mkono lkn hakuna ata mmoja mwenye kitambaa ichooBaadhi yao hawa hapaView attachment 2911242