SI loriondo ni LOLIONDO wilaya ya Ngorongoro mkoa wa Arusha,Ni kweli cm za vganja hubadil dsplay na kuandika ''sasa unaingia falme za kiarabu, karibu falme za kiarabu''.lakini si kote liliondo,maeneo karibu na Kijiji cha OLOLOSOKWAN kuna maeneo hapo utapata mtandao wa huu,Na kuna kampuni ya kiwindaji ya kiarabu inayofanya kazi za kiwindaji LIliondo itwayo Otel Bussiness Coperation(OBC) mwenye mtandao huu,Mie naogopa kuelezea kwa undani Kampuni hii ila ni ya kinyonyaji sana hapo Loliondo kwa local community within the Area of operation,nikielezea mtalia jinsi watanzania wanavyonyanyaswa na wawekezaji wanao kula na tabaka la juu.