Sasa wewe umeileta tena hapa JF ya nini? Masaburi @ work!Wanajamvi! Hii sms ilisambaa sana mwaka 2010 mara baada ya uchaguzi(niliipata 18/11/2010). Lakini kinachonishangaza badala ya chama kufa ndio kinazidi kukua kila siku. Sijui aliyeianzisha anajisikiaje kwa sasa.
Hebu tujikumbushe
"Haao walioteuliwa wanasababu zao. Ngoja nikuambie kama hujui:
Joyce Mukya, G. Kiwelu na L. Nyerere ni wa M/kiti.
C. Abwao na Anastella Malki ni wa Alf Konjesta.
Rwamukaza ni wa Baregu.
R. Kamili, Susan Kiwanga na Paulina Gekul ni wa Slaa.
Chris Mtinda na Tina Lissu ni wa Lissu.
M. Msabaha na Raya Hamisi ni wa MM/kiti Znz.
Muhonga, A. Komu na L.Owenya wametetewa na Zito.
Muturano, Kaihura na S. Lyimo wametoka BAWACHA .
Mwanamrisho ni wa naibu Znz.
Sasa kama huna mtu secretariet hupiti hata E. Matiko amepita kwa uwezo wake na juhudi za K. Mkumbo.
HABARI NDIO HIYO CHAMA LAZIMA KIFE.:A S-frusty2:
waste of space
mkuu huwa unatumia ile pombe inaitwa ULANZI???
UNAOTA MCHANA WEWE,wewe na magamba wenzi ndo mtakufa.na mtahaha sana mpaka 2015 majibu mtakuwa nayo.gamba zito wewe,Wanajamvi! Hii sms ilisambaa sana mwaka 2010 mara baada ya uchaguzi(niliipata 18/11/2010). Lakini kinachonishangaza badala ya chama kufa ndio kinazidi kukua kila siku. Sijui aliyeianzisha anajisikiaje kwa sasa.
Hebu tujikumbushe
"Haao walioteuliwa wanasababu zao. Ngoja nikuambie kama hujui:
Joyce Mukya, G. Kiwelu na L. Nyerere ni wa M/kiti.
C. Abwao na Anastella Malki ni wa Alf Konjesta.
Rwamukaza ni wa Baregu.
R. Kamili, Susan Kiwanga na Paulina Gekul ni wa Slaa.
Chris Mtinda na Tina Lissu ni wa Lissu.
M. Msabaha na Raya Hamisi ni wa MM/kiti Znz.
Muhonga, A. Komu na L.Owenya wametetewa na Zito.
Muturano, Kaihura na S. Lyimo wametoka BAWACHA .
Mwanamrisho ni wa naibu Znz.
Sasa kama huna mtu secretariet hupiti hata E. Matiko amepita kwa uwezo wake na juhudi za K. Mkumbo.
HABARI NDIO HIYO CHAMA LAZIMA KIFE.:A S-frusty2:
Wanajamvi! Hii sms ilisambaa sana mwaka 2010 mara baada ya uchaguzi(niliipata 18/11/2010). Lakini kinachonishangaza badala ya chama kufa ndio kinazidi kukua kila siku. Sijui aliyeianzisha anajisikiaje kwa sasa.

hivi wewe unaweza kuwapa cheo watu usiowajua?duuuuuh,maajabu hayataisha Tz hiiWanajamvi! Hii sms ilisambaa sana mwaka 2010 mara baada ya uchaguzi(niliipata 18/11/2010). Lakini kinachonishangaza badala ya chama kufa ndio kinazidi kukua kila siku. Sijui aliyeianzisha anajisikiaje kwa sasa.
Hebu tujikumbushe
"Haao walioteuliwa wanasababu zao. Ngoja nikuambie kama hujui:
Joyce Mukya, G. Kiwelu na L. Nyerere ni wa M/kiti.
C. Abwao na Anastella Malki ni wa Alf Konjesta.
Rwamukaza ni wa Baregu.
R. Kamili, Susan Kiwanga na Paulina Gekul ni wa Slaa.
Chris Mtinda na Tina Lissu ni wa Lissu.
M. Msabaha na Raya Hamisi ni wa MM/kiti Znz.
Muhonga, A. Komu na L.Owenya wametetewa na Zito.
Muturano, Kaihura na S. Lyimo wametoka BAWACHA .
Mwanamrisho ni wa naibu Znz.
Sasa kama huna mtu secretariet hupiti hata E. Matiko amepita kwa uwezo wake na juhudi za K. Mkumbo.
HABARI NDIO HIYO CHAMA LAZIMA KIFE.:A S-frusty2:
wagaba Uelewa wa wengi ndani ya JF kwa sasa ni mdogo sana. Niliileta sms hiyo ili watu wakumbuke CDM ilivyokuwa inatabiriwa mabaya na wanachama wake wenyewe. Hii sms kama sikosei iliandikwa na aliyekuwa m/kiti (T) wa BAWACHAaliyetimkia NCCR.Kweli uelewa wa watu wengine bana ni tatizo!
Sasa mleta thread anasulubiwa kwa sababu ipi? Mbona yy kaileta ili makamanda waone jinsi CDM ilivyokuwa inatabiriwa mabaya na magwanda 2010 na sasa hali ni tofauti kabisa. Amejaribu kuonyesha kuwa sasa upepo umebadilika na ccm ndo wenye kutabiriwa kifo.
Tusikimbilie kujibu kabla ya kuelewa kilichoandikwa!