HIJABU: Pigia kura NIKAAB

NACHORANEMBO

Member
Joined
Apr 27, 2012
Posts
13
Reaction score
1
Serikali ya New Zealand inaendesha zoezi la upigaji kura ktk mtandao wa Yahoo,kupata maoni yetu kuhusu kupiga marufuku vazi la NIKAAB ktk nchi yao.Pls saidia dada zetu wa New Zealand kwa kupiga kura ya "NO".
Fungua,angalia
News - Yahoo! New Zealand
mpaka sasa waislamu wapo nyuma kwa kura 6000. Pls usidharau hii ni jihadi. fungua na click "NO". Pls tuma msg hii kwa waislamu.
 
Ili iweje? Kwani uislam NGUO au Matendo?. Kanzu mpya shekhee yule yule.
 
Ili iweje? Kwani uislam NGUO au Matendo?. Kanzu mpya shekhee yule yule.

Wacha umasaburi wewe,
Zikiendeshwa kampeni za kuwataka hao mnaowaita Ma-Sista wavae tight jeans na Vitopu badala ya zile nguo zao,
Unge-comment nini???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…