Hii ya Kaburu Imeekaaje?

hata mm inanipa shida kidogo. Najaribu kujiuliza kwa mfano kaburu angekuwa ndio kiongozi mkuu wa tff sijui ingeleta picha gani kwa jamii

hata ujumbe kamati tendaji si cheo kidogo
 
ni vyema ukajizuia ushabiki kwani ktk soka kuna kesho na keshokutwa
 

hapa sijui atakua na kofia gani
 
naendelea kuchokoza mjadala tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…