Hii picha nimeipenda sana.

Nzuri sana

Uuuuhwi! ahsante kwa pic nzuri sana za kupendeza.
Niliondoka hapa cafe nikidhani ni za 'members only' za mshana jr n team!

Thanks!

Bulldog amenishawishi nianze kuangalia tena pic

subuthu Mombasa hawana hotel quality hiyo hiyo ni The Residence Zanzibar

Ungekua kenya hiyo..!tusingekaa umu ndani.!!

Imenibidi niiweke kwenye background ya simu na laptop
 
patamu sana. hiyo one night duh!!!!!!!!!!!!
 
Bulldog , hapa nyumbani 'members only' wanaitwa wanaharam na mtu fulani.
Niliulizwa, hebu tupe habari za dunia, akasogea na wakati huo ilikuwa selfie kutoka mshana jr et all. Fikiria ! imagine! think about that!

Nilipata wakati mgumu sana! nikaambiwa kwanini si delete kama email, nikasema ni invisible tu anayeweza
Ndiyo maana nikiona pic au members only, natetemeka sana! in fact sifungui JF siku hiyo hadi uzi upotee! Yalishanikuta

Wakati anafoka, mabinti zake wanasema ni sheeda na vijana wake wanasema hataree! yaani ilikuwa fadhaa ! sitasahau na ndiyo siku members only walipoitwa wanaharam
 

Pole sana mkuu Nguruvi3

Inaelekea wewe ni mzee sana kwenye haya mambo. Vijana wa humu wengi bado wapo kati ya 20-30 kwa hiyo mambo yao yanafanana kiasi fulani.

Usiyachukulie mambo ya jamiiforums serious sana, utaishia kugombana na kila mtu.

Mimi kama kuna uzi haujanivutia au umeenda tofauti na misimamo au imani yangu naipotezea tu
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha! hapana sijayachukulia serious, ni katika kujichanganya na vijana na chit chat

Unajua akina mshana jr na members only ni sehemu muhimu ya jamii.
Wanatuletea matukio ambayo otherwise ni vigumu sana kuyatafuta.

Ni matukio ambayo yapo katika jamii na yanatokea. Mimi nawapenda sana kwasababu huwa nacheka sana na jinsi wanavyochomeka, kama vile 'member only' wakati habari ni open. Au maadili yanamomonyoka! au kale kaugonjwa ketu etc

Wananifurahisha sana, na wala sina maana mbaya!
Hayo niliyoandika hapo juu ni chit chat tu wala usijali, na endeleeni kutujuza yaliyopo katika jamii
 

Hahahaha sawa mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…