figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
haya,tuma salam
mkuu wa .mia ulishatendwa nini kutokana na masihala yako pole sana..
thnx kwa kutukumbusha..
Mkuu unaposema hii ni siri unamaanisha nini?
FN leo umechemsha wakwetu,kwanza hii ni NEWS ALERT ? hii ni siri au ushauri ? halafu mtu makini hata kwenye utani hawezi mwambia mpenzi/mke hunivutii,sikupenda,nampenda flani.Kuna ule utani ukiulizwa 'unanipenda kiasi gani' unajibu kiutani 'kidogo',arubaini.
Wanaume washakuelewa.
kweli mkuu.habari yako lakini?mia
kumbe siku hizi kuna siri za zaidi ya mtu mmoja?? hiyo kali mkuu!!