hii ni siri nawapeni wanaume

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,483
54,853
habari zenyu bana!?.
hii ni siri nakupeni wewe mwanaume mwenye kuwa na girlfriend au mke,usije ukathubutu kumtania mpenzi wako mambo yanayohusiana na mapenzi.kwa mfano umwambie"nampenda rafiki yako,hunivutii,sikupendi n.k".wewe utachukulia utani na mwenzako atakua anacheka wewe utajua ni poa lakini mwenzio wa kike anaichukulia serious.siku mkikolofishana au kuzozana kidogo tu utakuta anaanza kuongea yale maneno uliyokuwa unamtania.
so kuweni makini na maneno yenu.ni hayo tu.mapenzi mema.mia
 
Mkuu nakubariana na wewe kwa avatar yako(100%),ni ukweli mtupu thanks kwa kutupa hiyo siri....Na haina maCh()K().....
 
mkuu wa .mia ulishatendwa nini kutokana na masihala yako pole sana..

thnx kwa kutukumbusha..
 
Kk hiyo ni kweli kbs, mi shor wangu nilikuwa namwambia amsalim rafk yake mara kwa mara, kuna siku alini-chengia akitaka kujua why kila wakat namkumbuka? Palichimbika, ila baadae kikaeleweka
 
Mkuu unaposema hii ni siri unamaanisha nini?

nina maana ya kwamba hii siri ukishaijua utaishi na mpenzi wako kwa raha.inawezekana ni makosa ulikuwa unatenda bila kujua.so tangia leo jua kwamba hawa viumbe hawataniwi maswala yahusuyo mapenzi.mia
 
FN leo umechemsha wakwetu,kwanza hii ni NEWS ALERT ? hii ni siri au ushauri ? halafu mtu makini hata kwenye utani hawezi mwambia mpenzi/mke hunivutii,sikupendi,nampenda flani.Kuna ule utani ukiulizwa 'unanipenda kiasi gani' unajibu kiutani 'kidogo',arubaini.
 
FN leo umechemsha wakwetu,kwanza hii ni NEWS ALERT ? hii ni siri au ushauri ? halafu mtu makini hata kwenye utani hawezi mwambia mpenzi/mke hunivutii,sikupenda,nampenda flani.Kuna ule utani ukiulizwa 'unanipenda kiasi gani' unajibu kiutani 'kidogo',arubaini.

so mkuu nifanyeje?kumbuka ni mfano tu na huwa kujisahau kupo.arubaini.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom